Kwa hiyo kubenea ni jiwe kwamba hana moments za hisia kama binadamu yoyote yule?Nilijua Kubenea ni Bonge la Mwamba
Kumbe Mlaini tu
Chozi Alilomwaga Kashindwa Hata Kumalizia Shukrani Zake kwa Waandishi Wenzie wa Habari Waliojitoa Kumkomboa
Kweli Sheria ya Utakatishaji Noumer[emoji119]
Nilijua Kubenea ni Bonge la Mwamba
Kumbe Mlaini tu
Chozi Alilomwaga Kashindwa Hata Kumalizia Shukrani Zake kwa Waandishi Wenzie wa Habari Waliojitoa Kumkomboa
Kweli Sheria ya Utakatishaji Noumer[emoji119]
Wabunge wa Chadema wanapenda sana kulia si unamkumbuka Lijualikali!Nilijua Kubenea ni Bonge la Mwamba
Kumbe Mlaini tu
Chozi Alilomwaga Kashindwa Hata Kumalizia Shukrani Zake kwa Waandishi Wenzie wa Habari Waliojitoa Kumkomboa
Kweli Sheria ya Utakatishaji Noumer[emoji119]
Hata mimiSijaelewa mpaka hapo...
Siku mbili tatu tu analia, halafu unishawishi niandamane niwekwe ndani thubutu yakoNilijua Kubenea ni Bonge la Mwamba
Kumbe Mlaini tu
Chozi Alilomwaga Kashindwa Hata Kumalizia Shukrani Zake kwa Waandishi Wenzie wa Habari Waliojitoa Kumkomboa
Kweli Sheria ya Utakatishaji Noumer[emoji119]
Si yuko ccmWabunge wa Chadema wanapenda sana kulia si unamkumbuka Lijualikali!
Hata watakatisha pesa waendelee kuvunja Sheria kisa JPm ni katili?Ndio maana Lissu anasema kwenye kampeni zake kuwa Magu ni katili.
KUBENEA HAWEZI KUSHINDA UBUNGE ALILOFANYA NI DOA KUBWA SANA KTK SIASA.UBUNGO HAWAZEZI KUMCHAGUA MSAFIRISHA PESA CHAFU NA KUVUKA MPAKA KINYUME NA SHERIANilijua Kubenea ni Bonge la Mwamba
Kumbe Mlaini tu
Chozi Alilomwaga Kashindwa Hata Kumalizia Shukrani Zake kwa Waandishi Wenzie wa Habari Waliojitoa Kumkomboa
Kweli Sheria ya Utakatishaji Noumer[emoji119]
Kwani Uliacha Maagizo Asiachiwe,[emoji1745]
Sema wasalitiWabunge wa Chadema wanapenda sana kulia si unamkumbuka Lijualikali!
Ulikuwa unafukuzwa au umesikia kijiweni😷!Na Hutaelewa Kamwe