hugochavez JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,907 Reaction score 1,009 Jan 21, 2016 #121 hao mang'ombe wana uwezo gani wa kuitisha serikali?? badilisha hiyo heading ya thred
hugochavez JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,907 Reaction score 1,009 Jan 21, 2016 #122 KikulachoChako said: Haya ni moja ya maamuzi ya kukurupuka ya serikali ya Magufuri....lazima atambue kuwa hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa utashi wake yeye binafsi... Click to expand... binafsi napongeza sana hatua hiyo ya kufungia hilo gazeti la udaku
KikulachoChako said: Haya ni moja ya maamuzi ya kukurupuka ya serikali ya Magufuri....lazima atambue kuwa hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa utashi wake yeye binafsi... Click to expand... binafsi napongeza sana hatua hiyo ya kufungia hilo gazeti la udaku
M Mr Mlay Member Joined Jan 17, 2016 Posts 16 Reaction score 2 Jan 27, 2016 #123 nenda kwenye hoja mkuu
mangikule JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 6,468 Reaction score 6,022 Jan 27, 2016 #124 DuppyConqueror said: Kubenea na wahalifu wenzake wanyang'anywe leseni za uandishi Click to expand... Hivi nini maana ya uhalifu? kama hawa malaika watakuwa wahalifu je yale majambazi yanayoripotiwa na hivyo vyombo je?
DuppyConqueror said: Kubenea na wahalifu wenzake wanyang'anywe leseni za uandishi Click to expand... Hivi nini maana ya uhalifu? kama hawa malaika watakuwa wahalifu je yale majambazi yanayoripotiwa na hivyo vyombo je?