Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,763
- 284,783
Kuna haja sasa ya kubenea kupewa umeya wa jiji , anahitajika kuliko wakati wowote katika nchi hii .hizo ni mbwembwe tu za kubenea. amemsafisha mwizi mkuu lowasa anakimbilia ufuaji wa majoho..what a shame
Hapa ni halmashauri moja tu, lakini inamaana mnyika hakuuona huu ufisadi kweli? sasa nimeamini ukawa ni wa hovyo kuliko tunavyodhania.
Tatizi sio kuibua ufisadi mimi huyu jamaa aliwahi kukashifu sana lowasaa ila mwisho wa siku akaja kumsafisha mpinga ufisadi chadema ayupo tena
ccm hawapendi habari kama hizi we angalia comment zao tu!
Kuna haja sasa ya kubenea kupewa umeya wa jiji , anahitajika kuliko wakati wowote katika nchi hii .
Hapo ndipo napogundua shule za Kata zimekuwa na matokeo PINGIFU hata kwenye mambo ya maana
Tatizi sio kuibua ufisadi mimi huyu jamaa aliwahi kukashifu sana lowasaa ila mwisho wa siku akaja kumsafisha mpinga ufisadi chadema ayupo tena
Porojo kibao lakini hoja hakuna , yaleyale !CHADEMA wamesema kwamba kipaumbele cha Watanzania sio kuupinga ufisadi bali ni kuiondoaCCM madarakani hata ikimaanisha kumuingiza shetani atawale badala ya CCM. Ndio maana ile list of shame ikaondolewa kwenye website ya CHADEMA na katika kampeni za Urais hakuna hata mtu mmoja wa CHADEMA aliyegusia ufisadi. Sasa kama wamebadilika watutangazie rasmi ili hata raia wema wakiona dili la kifisadi waweze kuwabonyeza wabunge wa upinzani. Sitashangaa hata kidogo huyu Said Kubenea baada ya siku au miezi kadhaa akaja kusema huu ufisadi aliozungumzia hauna ushahidi na hivyo kuomba msamaha.
wataanza vibaya kwa kuweka siasa mbele kwenye mambo ya kitaalam. hao mama lishe na bodaboda wao wamejipendekeza kwao na haikulipa. wapo wataalam wa usafiri wa umma mijini pia wataaluma wa mipango miji kuhusu usafi etc. mmesema elimu elimu elimu sasa ukanjanja wa nini.Mbunge machachari wa Ubungo Said Kubenea ameibua ufisadi wa bilioni 1.2 ambazo hutumika kwa ajili ya kufua majoho ya madiwani ktk Halmashauri za jiji.
========================
Chanzo: Magazetini
Tatizi sio kuibua ufisadi mimi huyu jamaa aliwahi kukashifu sana lowasaa ila mwisho wa siku akaja kumsafisha mpinga ufisadi chadema ayupo tena
Acheni majungu, apongezwe kwa kazi yake. Lowassa alijisafisha mwenyewe mbele ya kamati kuu ya Chadema na Slaa akiwepo.
hizo ni mbwembwe tu za kubenea. amemsafisha mwizi mkuu lowasa anakimbilia ufuaji wa majoho..what a shame