Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
kwakeli no diea about that, but what i have heard is possible (kubemenda) if a woman who have a little baby doing sex with a man whom is NOT his husband!! but for a married couple there is no such effect, chapa tu asikunyime haki yako ya ndoa!Waungwana naomba msaada wenu juu ya hili neno,
silielewi, lakini nimepata mtoto sasa ni mwezi wa nne umepita tangu alipozaliwa,
mama yake ananinyima unyumba kwa madai kuwa nitambemenda mtoto..
Mtoto hatakuwa na nguvu, atakuwa na meno yenye mpangilio mbaya, atachelewa kutembea, nywele zitakuwa nyekundu na pia huwa ananiambia mtoto atakuwa zezeta,
je kuna uhusiano gani wa kisayansi kati ya maisha yangu ya ndoa na kuharibika kwa mtoto?
Naombeni msaada ndugu zanguni
Waungwana naomba msaada wenu juu ya hili neno,