Kubemenda ni propaganda tu, sio kweli

Just Distinctions

JF-Expert Member
May 5, 2016
3,161
6,531
Habari zenu wakuu,

Mwaka Jana nilipata bahati ya kwenda mkoani kikazi ambako nilikuwa kwenye kandarasi mojawapo yenye tenda ya takribani miezi 4, kampuni ilipanga kugharamia malazi yangu, lakini kutokana na sababu za uchumi nilimwarifu ex- girlfriend wangu anaeishi humo kuwa nitakuwa mgeni wake kwa muda wote huo (sikuwa serious) ila yeye akakubali hivyo nikafikia kwake.

Kimbembe sasa kumbe yule msichana alikuwa na mtoto mdogo (kama miezi 2 hivi) ivo lilikuwa bonge la suprise, nilikonda gafla ila aliliona hilo na akaniambia baba wa mtoto amemtelekeza na hana habari nae wala mtoto ivo nisihofu niishi kwa amani. Basi nikaripoti kazini, mishe zikaendelea, baada ya wiki hivi wakati usiku tumelala mizuka ikanipanda nikaona niombe mechi, yule msichana alinikatalia katakata nilipojaribu kumbembeleza akanichomoloea kabisa.

Nikaona isiwe kesi nikamkaushia kama wiki hivi sina time nae mi ni salamu tu, nikienda job nikirudi ni kulala sina habari nae. Basi usiku mmoja akaniamsha nikamwambia vipi kwani? Akaniambia "najua umechukia ila kiukweli sina lengo la kukunyima mchezo ila naogopa mwanangu bado mdogo nitambemenda"

Ilinibidi nicheke sana kwasababu mi ni msomi na siamini vitu kama hivyo, ila bado alisisitiza kuwa hata bibi yake alimuusia ya kuwa mwanae hatokuwa vizuri na atachelewa kutembea, nikamwambia sio kweli we niamini mimi hizo ni mila potofu tu, mbona raia kibao wamebambikiwa machata na watoto hao wanadunda tu mitaani, basi kishingo upande akanipa mambo nami sikuremba nikamsugua kweli kweli, si akanogewa.

Ikawa daily naruka nae sometimes usiku mtoto anaamka anabembelezwa ananyonyeshwa, akidozi game linaendelea. Miezi ikaenda anashangaa toto linazidi kunenepa tu mara anakaaa, ilipofika kipindi nimesepa kama miezi kadhaa baadae akaniambia sio tu mtoto anatembea bali kawa mwanariadha kabisa.

Na tangu wakati huo nimeshaelimisha wanawake wengine kama wawili hivi ambao walikuwa na fikra hizo potofu, na watoto wao wanatembea vizuri tu ivo hii "kubemenda" ni propaganda tu na unyanyapaa dhidi ya single mothers wasi-enjoy life jinsi inavyotakikana, hivyo tuache hizo hakuna ukweli wowote kuhusu kubememenda afya ya mtoto inajengwa na Diet we zingatia misosi uone toto linavokua vema.
 
Nimecheka kwa ukavu wako unanunaje wakati unaishi kwa watu? msomi wewe unatabu sana hata hotel huwezi fikia unafikia kwawatu na kununa juu,lol wasohaya wanamji wao........
 
kufikia kwa mwanamke na kununa kisa uchi.... na hapo utakuta hadi Mafuta ya kupaka unamtegemea mmh
Hapana, Nilikuwa Nagharamia. Ishu Kama Hela Za Matumizi, Daily Nilikuwa Naacha Fungu Mezani Na Hata Zile Show Za Kula Bata Weekend Zilikuwa Chini Ya Usimamizi Wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom