Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
hujapata wakukubembeleza ww...
hawana cha kubembeleza....
mwanamke kubembelezwa haki yake kabisa
na tena napenda nikibembelezwa amalizie na mkwaju..
Me napenda kubembelezwa jamani looh. Muda mwingine hata kakitu kadogo tu unajinunisha ili ubembelezwe. Kimbembe sasa ujinunishe afu huyo mpenzio awe bandindu hahaahaha utajichekesha mwenyewe mbona
Kuna wanaume nao wanapenda kubembelezwa eti tena wanakuwa kama watoto 'inaboaje'
Nimependa jina lako tu..
Kuna wanaume nao wanapenda kubembelezwa eti tena wanakuwa kama watoto 'inaboaje'
Wanawake na kubembelezwa ni kama uji na mgonjwa...
Kweli kabisa
mwanamke kubembelezwa haki yake kabisa
na tena napenda nikibembelezwa amalizie na mkwaju..