Kubandika bidhaa dukani kukoje

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,863
Reaction score
3,099
Wadau wenye maduka kutokana na hali ngumu ya kiuchumi imeibuka tabia ya wateja kupenda kubandika bidhaa dukani yaani kulipia kidogo kidogo mpka amalize,sasa najiuliza mfano bidhaa nauza cash elfu 10 akisema anabandika nitamruhusu abandike kwa elfu 10 au niongeze kidogo iwe elfu 15?maana unaweza kuta mteja anachukua muda kumaliza na bidhaa ukauza ukienda kuifuata chimbo unaikosa mnaishia kugombana
 
Ukiwa na mchumba pia unaweza kulipa mahari kidogo kidogo hadi umalize,ukishindwa kumaliza kwa wakati anaolewa na mzee kipara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…