Shixi889
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 338
- 208
KakaJambazi you made my day am a single mother lakini nina proposal zidi ya tatu za ndoa soo usitishie single mothers humu isitoshe wapo wanaoolewa na wanadumu Mungu ndo mpangaji wa future ya mwanandamu not mwanadamuWengi humu ni single mothers na walitegemea pengine wangepata mahabuba wao humu.
Thredi ka hizi za kuwazindua single boyz, zinawaumiza sana single mothers na watakua wanachungulia na kuondoka.