Admin1988
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,612
- 1,869
Habari wakuu, naiona pasaka ndiyo hiyo ina ishia ishia...!
Naomba kujulishwa je, naweza kwenda TCU nika fanyiwa EQUIVALENT katika CREDITS zangu baada ya kumaliza chuo?
Nimesoma chuo kimoja hivi, cha private, sasa ma'ASISTANTS lecture's waka ni bania course works, na ufaulu wa chuo, ukawa vibaya, YAAN
40-49 ni.D
50-59 ni.C
60-69 ni.B plain
70-79 ni.B plus
80-100 ndio.A
Sasa overall GPA nikapta lower 3.3
Sasa nawaza nikienda TCU Wana weza kunifanyia EQUIVALENT Kama serikalini? katika viwango vyao vikawa STANDARD!
Nomba mwenye uelewa ani juze, nataka nipge master flani ili niende mahali, SASA NITATAKIWA UNDERGRADUATE WALAU ISOME 3.5 overall.......