MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Jul 2, 2016 #1 Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae,aje somanga kilwa nije kimanzichana au mkuranga mama yangu amepararize na uhamisho nimekosa niko tayari kukulipa gharama za kuhama!! Tafadhali nisaidie malipo yataongezeka kulingana na umbali!!idara msingi!!
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae,aje somanga kilwa nije kimanzichana au mkuranga mama yangu amepararize na uhamisho nimekosa niko tayari kukulipa gharama za kuhama!! Tafadhali nisaidie malipo yataongezeka kulingana na umbali!!idara msingi!!