D Derik New Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Sep 2, 2014 #1 mi ni mwalimu wa sekondari natafuta mwalimu wakubadilishana vituo vya kazi nitoke Bariadi niende aidha Nyamagana, Kahama, ilemela au shinyanga kama yupo anipm
mi ni mwalimu wa sekondari natafuta mwalimu wakubadilishana vituo vya kazi nitoke Bariadi niende aidha Nyamagana, Kahama, ilemela au shinyanga kama yupo anipm
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,592 Reaction score 43,676 Feb 4, 2022 #2 Jiunge na group hili kupata taarifa za kubadilisha vituo watumishi idara ya afya. KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI t.me Karibuni sana wataalamu wa afya.
Jiunge na group hili kupata taarifa za kubadilisha vituo watumishi idara ya afya. KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI t.me Karibuni sana wataalamu wa afya.