Kubadilishana simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubadilishana simu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by tata mvoni, May 7, 2012.

 1. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Habari wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika,NAOMBA MTU YEYOTE MWENYE NOKIA ASHA DUAL,NOKIA E-5,E-6,X2,HATA BLACK BERRY CURVE TUBADILISHANE NA NOKIA C2-OO,NITAKUONGEZEA KIASI FULANI CHA PESA UTAKACHOHITAJI ILAIWE KATIKA HALI NZURI MAANA YA KWANGU NILINUNULIWA LAST WEEK NA MZEE SEMA TU SIIPENDI NA UWEZO WA KUNUNUA SIMU MPYA KAMA HIZO SINA ILA NI MPYA KABISA.NASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU
  NAMBA YANGU NI 0715404808 AU 0786404808.NIPO DAR ES SALAAAM.
   
 2. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Aliyekununulia umemuambia?...kama bado ni bora umpe taarifa anaweza kuwa na best option for you kuliko kuibadilisha kimya kimya.
   
 3. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nishamwambia mkuu sema anadai kwa sasa hawezi tena rudi mfukoni kwake kuninununlia simu nyingine maana hata wakati anainunua hajaniambia nilitoka zangu SKULI nikakuta simu naanmbiwa ya kwangu sema nikawa sina cha kufanya ila kuchukua ila ki-ukweli siifagilii kabisaaa
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  niongezee laki 2 na 20 nkupe E-5 km unataka
   
Loading...