Taylor Gang Jr
Senior Member
- Jul 2, 2013
- 131
- 7
Habari wakuu...nina samsung galaxy s5 genuine.
Ipo in very good condition..imetumika for 1 month..haina tatizo lolote..nakupa na all its accessories.
#kama kuna mtu ana smartphone nzuri yenye thamani sawa na hii anicheck tuwasiliane ili tubadilishana...kama atapenda iwe hvyo na isiwe na tatizo lolote