Kubadilishana material ya physics na chemistry au biology

Loockman

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
73
Reaction score
17
Wadau mimi nina material ya chemistry na biology natafuta mwenye material ya Physics A level hasa ya MGOTE na O level pia ya mwandishi yeyote tu badilishane kwa chemistry na biology hata kama hauna kama unayataka poa nitakupa bure tu. N:B hela ya kununulia sina mimi nataka tu exchange tu material ya PHYSICS A LEVEL OR O LEVEL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafute

Kubadirishana = kubadilishana

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom