Kabadilishana vituo vya kazi ni utaratibu piaKwani hujui utaratibu wa kuomba kuhama? Hukuajiriwa kwa mkataba?
Kabadilishana vituo vya kazi ni utaratibu pia
Ingekuwa rahisi rahisi kama ulivoandika hapa mbona ingekuwa raha,Badala ya kusubiri hiyo bahati na sibu ama coincidence ya mtu anayetaka kurudi unapotoka nawe kwenda alipokuwa utaratibu ni kwenda kwa mkurugenzi wa say Halmashauri unayotaka kuhamia ataangalia kama ana nafasi kwenye halmashauri husika na kama itakuwepo utarudi kwenye halmashauri unayofanyia kazi unaandika barua kwa mkurugenzi unaacha nakala kwenye kituo chako cha kazi kisha unahamia kwenye halmashauri uliyoomba ili kupangiwa kituo kingine!