Nina miaka mitatu kazini nataka kurudi nyumbani kama unataka kuja Morogoro wilaya ya Malinyi nije wilaya ya Hai,Rombo na Moshi vijijini idara elimu sekondari kama unapenda kulima ardhi yenye rutuba na hutumii mbolea njoo malinyi mawasiliano ni 0655669079