jf bwana hahaha kila mtu maisha borahahah yaani mtu akupe Azam kisimbuzi bora kabisa afu we umpe kopo la startimes labda awe chizi
Sent using Jamii Forums mobile app


hapana mkuu jamaa anataka abadilishane azam na startimes kitu ambacho ni kigumu labda aongeze na pesa 😂 😂 😂 😂 😂 aiseehahah yaani mtu akupe Azam kisimbuzi bora kabisa afu we umpe kopo la startimes labda awe chizi
Sent using Jamii Forums mobile app


dah
hapana mkuu jamaa anataka abadilishane azam na startimes kitu ambacho ni kigumu labda aongeze na pesa
alichofanya ni sawa na kubadilishana IST na HARRIER
Sent using Jamii Forums mobile app