oldd vampire JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 253 Reaction score 52 Nov 28, 2012 #1 hivi kama unamhisi au unajua kua mchumba wako anamatumizi mabaya ya simu yake,je kumbadilishia namba ni njia nzuri au?
hivi kama unamhisi au unajua kua mchumba wako anamatumizi mabaya ya simu yake,je kumbadilishia namba ni njia nzuri au?
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Nov 28, 2012 #2 Sa ukimbadilishia number si ndo atanza upya, na kwa speed mpya...bora muwachie tu ya zamani ili abaki na wale wa zamani. Pole sana, wivu mbaya ujuwe :biggrin1:
Sa ukimbadilishia number si ndo atanza upya, na kwa speed mpya...bora muwachie tu ya zamani ili abaki na wale wa zamani. Pole sana, wivu mbaya ujuwe :biggrin1:
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Nov 28, 2012 #3 Kama unahisi unadanganywa ni bora ukatafuta namna ya kutatua tatizo kuliko kubadilisha namba maana mara nyingi huwa haisaidii kwani katika mapenzi ambayo watu wanaiba namba huwekwa kichwani na si kwenye simu.
Kama unahisi unadanganywa ni bora ukatafuta namna ya kutatua tatizo kuliko kubadilisha namba maana mara nyingi huwa haisaidii kwani katika mapenzi ambayo watu wanaiba namba huwekwa kichwani na si kwenye simu.
J JAK Member Joined Apr 23, 2012 Posts 92 Reaction score 21 Nov 28, 2012 #4 Hapana, sio sululisho, jaribu kumwambia ukweli kama unauhakika anacheza rafu kama anakupenda atakusikiliza. Kwa taarifa mwanamke huwezi kumchunga labda aamue mwenyewe kuheshimu mausiano yenu.
Hapana, sio sululisho, jaribu kumwambia ukweli kama unauhakika anacheza rafu kama anakupenda atakusikiliza. Kwa taarifa mwanamke huwezi kumchunga labda aamue mwenyewe kuheshimu mausiano yenu.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,264 Reaction score 90,763 Nov 28, 2012 #5 simu hizi bana...kweli mahusiano yataka moyo....bora niende zangu kona bar tuu
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,393 Nov 28, 2012 #6 mbadilishie mpaka plate number ya gari kama unaweza....atakuwa muaminifu sana:madgrin: