Richman Morenje
Member
- Jul 15, 2013
- 19
- 5
Wana JF, mwenye uelewa na hili naomba ufafanuzi tafadhali.
Hivi? kwa mwalimu aliyejiendeleza kitaaluma kutoka ngaz ya cheti hadi shahada ya ualimu, inamchukua muda gani ili abadilishiwe Daraja lake au Muundo wa utumishi.