kiukweli nilipenda sana simu nyeupe nakumbuka wakati nanunua s4 nilipigwa bei kisa nyeupe. lakini nilishagundua si lolote ni rangi tu. siku hizi nanunua black, kaka badala ya kutumia gharama kuibadilishia macover nakushauri uza nunua rangi uipendayo

inawezekana ila ni ngumu, kama sijakosea kwa samsung rangi ya mbele inakuwa pamoja na touch na gorilla glass. hivyo kubadili touch kisa rangi kwangu mimi haileti maana.