Baba Ndumbwi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 452 Reaction score 719 Jun 3, 2020 #1 Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000. Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange.
Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000. Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,509 Reaction score 40,346 Jun 3, 2020 #2 Bahrain Dinar labda uende Dubai maana Ni majirani na Bahrain - Wazee wa Bata wasiobanwa na Sheria kandamizi Kama Saudia
Bahrain Dinar labda uende Dubai maana Ni majirani na Bahrain - Wazee wa Bata wasiobanwa na Sheria kandamizi Kama Saudia
M ma shey New Member Joined Jan 13, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Feb 11, 2021 #3 Baba Ndumbwi said: Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000. Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange. Click to expand... ulishapata pa kuchange màana na mimi ninayo sijui pa kuipeleka
Baba Ndumbwi said: Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000. Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange. Click to expand... ulishapata pa kuchange màana na mimi ninayo sijui pa kuipeleka