J Jurisupridence Member Joined Apr 3, 2013 Posts 24 Reaction score 1 Sep 19, 2015 #1 Kuhama wizara moja kwenda wizara nyingine katika utumishi wa uma utaratibu ukoje? anaefahamu pricedures aweke bayana.
Kuhama wizara moja kwenda wizara nyingine katika utumishi wa uma utaratibu ukoje? anaefahamu pricedures aweke bayana.
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 575 Sep 19, 2015 #2 precidures=procedures!
U ufumawicha JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 510 Reaction score 213 Sep 19, 2015 #3 Sema kwa mfano wizara gani kwenda ipi?Tukusaidie
B biee JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 332 Reaction score 116 Sep 19, 2015 #4 Unamwanndikia katibu mkuu utumishi wa uma kupitia kwa wakuu wako wa kazi wa kituo, mkurugenzi wa halmashauri yako
Unamwanndikia katibu mkuu utumishi wa uma kupitia kwa wakuu wako wa kazi wa kituo, mkurugenzi wa halmashauri yako