Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
1. Kuhamishwa kwa Eliakim Maswi
- Alitolewa Manyara akaletwa TRA hajamaliza hata miezi mitatu karudishwa tena Manyara
2. Dr Mpango, Kateuliwa kwenda TRA, hajamaliza hata miezi minne kawa Waziri.
3. Mwanamama Kateuliwa NSSF, hajamaliza hata siku tatu uteuzi umetenguliwa.
4. Sefue, kateuliwa kuwa Katibu mkuu kiongozi, hajamaliza hata miezi minne katenguliwa uteuzi
5. Mawakala wa forodha zaidi ya 100 wamefungiwa na Serikali kwa sababu ya ukwepaji kodi, Kabla hata ya kuwa Cleared, tayari wamefunguliwa.
6. Dr Mwaka kafungiwa kwa sababu tulizopewa, kabla hata ya kutueleza kilichojiri, Dr mwaka anapiga mzigo sasa kama kawaida.
7. Mkuu wa mkoa wa Mwanza aliwasimamisha madaktari kinyume cha taaluma ya utabibu kutoingiliwa na wanasiasa, leo Serikali iko kikaangoni kuelezea kwa nini.
8. Daktari katuhumiwa rushwa, kwa kumsikiliza.mama, huyo mama hajaulizwa maswali magumu, kauli yake moja tu ikawa sababu ya kumsimamisha mtu kazi ili achunguzwe!
9. Makamba alimsimamisha Wakili Heche Suguta Manchare wa NEMC, lakini akarudishwa kazini bila wananchi kuelezwa sababu za kuwa cleared ni zipi!
10. Tumeambiwa benki kuu kuna wafanyakazi hewa, hata wiki moja haijaisha Gavana kakana kasema hakuna kitu kama hicho BOT
11. Tuliambiwa kuwa sasa bei elekezi ya sukari ni shilingi 1800, lakini mtaani inauzwa juu zaidi ya hiyo.