Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,056
- 1,303
Habari JF.
Naomba munielimishe kuhusu jinsi gharama (pesa) ya kulipa TRA inavyokokotolewa baada taratibu za awali za kubadili umiliki wa kiwanja/plot (iliyo na hati) kukamilika yaani baada ya kupewa offer. Naomba mniondoe ujinga (kuelimishwa) kwa lugha ya Staha.
Ahsante