Kubadili umbo la mic

Kwanini kwani lilivyo halitoi sauti
 
kwani hilo la awali lina shida gani?
 
Inawezekana huonagi wanaongeza urefu! Na ndefu ndio zinapendwa na wengi.
 
Yaani ni kwamba umbo lake halileti picha nzuri kwani hufanana na sehemu za siri. Ilitaka kuleta tafrani shereheni leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…