KUBADILI TAHASUSI

zero 123

Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
13
Reaction score
5
Wakuu naomben mnsaidie katika hili,Nina mdogo wangu katika masomo ya sayansi ana BCC na D ya mathematic, kachaguliwa HGE ,ndoto yake ni kusoma masomo ya sayansi hasa PCB ,je kwa ufaulu wake anaweza kukubaliwa kubadlshiwa tahasusi....ahsanten sana
 
Nasubir ushaur wenu wakuu
 
Kuna una uwezo mpeleke Private huko atapata kubadilisha ila kwa Govement inaweza kuwa vigumu
 
Kwa kwel uwezo wa kifedha ni mdogo mkuu, itambidi akasome hiyo hiyo
Jaribu kuuliza hapo hapo shuleni kama wanatoa tahasusi hiyo (PCB), halafu ndio uulize kama nafasi ya kubadiri tahasusi ya HGE. Ukifanikiwa utujuze.
 
Hiyo shule kama ina PCB ajaribu abadilishe,au atafute shule nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…