Simu yako ina uwezo wa 4g. ?Kama kuna yeyete anaejua ku change set up ya 3g netork katika android fones to 4g network anisaidie please.
Haiwezekani mkuu hiyo network huwezi i update ikawa 4g maana imetengenezwa iwe 3 ww nunua simu yenye 4gKama kuna yeyete anaejua ku change set up ya 3g netork katika android fones to 4g network anisaidie please.