Kubadili Chuo Kutoka Bugando Kuja Muhimbili Au UDSM

Kubadili Chuo Kutoka Bugando Kuja Muhimbili Au UDSM

daaah,,mbona umejipendelea sana kwa kusema muhas au udsm ilihali competition ni ya hali ya juu!kama swala ni gharama ajaribu Ajuco lakini tofauti na hapo akatoe sacrifice kwanza
 
Wandugu Nina Mjomba Wangu Kachaguliwa Medicine Bugando, Tunahitaji Kufanya Mabadiliko Ya Kuja Muhimbili Au UDSM, Nifuate Njia Gani Ndugu??
hujui kama # ya wanafunz iko fixed,,,,sasa udsm MD 110,,,,unataka ulazimixhe wawe 111
 
Acha uboya,,,,hujui kama # ya wanafunz iko fixed,,,,sasa udsm MD 110,,,,unataka ulazimixhe wawe 111¿ acha uboya

Dogo,umewahi kufika chuo? Kwanini unamtukana?Mbona watu wengi tu wanahama

Nina mfano,kuna mwanafunzi ametokea St.Johns kaenda MUHAS

Hivi unajua kuwa sio wanafunzi wote huwa wanaripoti?

Next time usitukane bila kuwa na taarifa sahihi,it won't make you a good doctor
 
Acha uboya,,,,hujui kama # ya wanafunz iko fixed,,,,sasa udsm MD 110,,,,unataka ulazimixhe wawe 111¿ acha uboya
Kaka Matusi Ya Nini, Mbona Vijana Mitandao Ya Kijamii Hamuielewi Vizuri, Hivi Nikikuchukulia Hatua Utaniona Napenda Kesi Au??
 
Waone chuo husika kama kuna nafasi then tcu ndo utapata maelezo ya kina,,, ila pia huwa kuna muda maalum wa kufanya transfer ambayo TCU wenyewe hutoa.
 
Waone chuo husika kama kuna nafasi then tcu ndo utapata maelezo ya kina,,, ila pia huwa kuna muda maalum wa kufanya transfer ambayo TCU wenyewe hutoa.
Umemshaur vzur sana kaka.
Subir october TCU wenyewe watafngulia drsha la Transfer.
Utalipia 30000 then utaaply.
Ila hzo transfer Uwa n frst comer frst saver anae wai ndo anapata kuchagua koz nzur.
 
Mkuu Gharama Za Awali Kabla Hajapata Boom Ni Mtihani, Ila Akiwa Dar Tutabanana Hapa Hapa Hadi Apate Mkopo, Halafu Condition Za Bugando Anatakiwa Alipe Karibu 2m Kabla Ya Tar 1, Hapo Ni Mtihani Mwingine
Halafu pia Udsm na Muhas ni cheaper zaidi. Muhas MD ni 1.8million ambayo haifiki hata nusu ya CUHAS(Bugando). Hivyo kama una uwezekano hama
 
Wandugu Nina Mjomba Wangu Kachaguliwa Medicine Bugando, Tunahitaji Kufanya Mabadiliko Ya Kuja Muhimbili Au UDSM, Nifuate Njia Gani Ndugu??
Tatizo n nn ni ada? Au umbali? Kama ni ada utapewa mkopo asilimia 100 ambayo ni M3.1 kwa ada ya bigando utajiongeza kidogo sana mm nadhan ungetulia hapo hapo tu coz muhas na udzm ni majina tu na ukongwe wa vyuo ila kiukweli bugando ni best kuliko huko
 
Kila mwaka inatakiwa ujiongezee 1.2 m
Na hapo ni kama mkopo ni 100%
 
Back
Top Bottom