Kubadili Chuo Kutoka Bugando Kuja Muhimbili Au UDSM

Kubadili Chuo Kutoka Bugando Kuja Muhimbili Au UDSM

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,190
Reaction score
889
Wandugu Nina Mjomba Wangu Kachaguliwa Medicine Bugando, Tunahitaji Kufanya Mabadiliko Ya Kuja Muhimbili Au UDSM, Nifuate Njia Gani Ndugu??
 
Lakn kwan nn uhame bugando mbona pako vinzuriii
Mkuu Gharama Za Awali Kabla Hajapata Boom Ni Mtihani, Ila Akiwa Dar Tutabanana Hapa Hapa Hadi Apate Mkopo, Halafu Condition Za Bugando Anatakiwa Alipe Karibu 2m Kabla Ya Tar 1, Hapo Ni Mtihani Mwingine
 
2M haifiki mkuu..ada nusu around 520,000, room wanataka yote mwaka huu 480,000...registration 450,000...mkuu pamekua pachungu now..
Umeona Hapo Kaka, Itafika Tu Hapo Hizo Ni Direct Univ.cost, Bado Za Kwake
 
Wandugu Nina Mjomba Wangu Kachaguliwa Medicine Bugando, Tunahitaji Kufanya Mabadiliko Ya Kuja Muhimbili Au UDSM, Nifuate Njia Gani Ndugu??
Pole kwa kupungukiwa kaka, lkn ni kheri kwa kuwa walau kapata nafasi ya kuingia chuo.

Wengi wanatamani wahamie muhas au UDSM bt intake capacity ya hv vyuo bd ni ndogo kwa sasa ni vilijaa mapema sana.

Lkn yaweza kuwa bahati yake pengine jaribuni kufanya followup tcu na vyuo husika muone km itawezekana.
 
Mkuu Gharama Za Awali Kabla Hajapata Boom Ni Mtihani, Ila Akiwa Dar Tutabanana Hapa Hapa Hadi Apate Mkopo, Halafu Condition Za Bugando Anatakiwa Alipe Karibu 2m Kabla Ya Tar 1, Hapo Ni Mtihani Mwingine
Pole uza chochote ulicho nacho mtoto asome, we have been sailing in this situation for five years now!
 
Kwanza check vigezo kama anafika point 7, kama hana fanya mpango wa AJUCO ingawa sio pazuri saaanaaa, ikishindikana basi mbakize bugando tu pako vzur of course, kuhusu gharama kuna watoto wa wakulima wamemaliza pale na wengine bado wapo kwa gharama kubwa zaidi ya hizo maana mwaka wa tano wanalipiwa 2.6m only so usijali waweza kulipa kidogokidogo mpk mda wa ue ingawa kutakua na kapenalt ka laki1
 
Back
Top Bottom