Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Habari ndugu zangu.
Nina miliki simu HTC One X, ni simu nzuri sana. Pamoja na uzuri wake, simu hii haikai sana na chaji hivyo nataka kubadili betri. Simu hii HTC One X ukiitazama vibaya unaweza kudhani hakuna sehemu ya kubadilishia betri. Nilitama katika youtube namna ya kubadili betri nikaona kuwa inabidi ubetue/utoe screen then zinafuata procedures kibao hadi ufanikiwe kuweka betri mpya.
Nimekuwa nikitetemeka kila ninapotaka kuifungua, nahofia kuiharibu. Ninachoomba kutoka kwenu ni:-
(i) Wapi nitapata betri original za HTC One X?
[SUB](ii) Nitapata wapi fundi ambaye atanibadilishia betri bila kuniharibia kioo/screen kwa kuichubua?
Nipo Dar
[/SUB]