Kuasili mtoto

Beibeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hahaaaaaa Mwajuma umedata wewe.

Basi imetosha sasa maana Team Macho Kuvimba washapata ubuyu wa kutosha kwa kesho.

Tuwabakizie na wa siku ingine...
 
Hahaaaaaa Mwajuma umedata wewe.

Basi imetosha sasa maana Team Macho Kuvimba washapata ubuyu wa kutosha kwa kesho.

Tuwabakizie na ww siku ingine...
Hahhahahah. Eti team macho kuvimba. Umenchekesha. Haya ubuyu umetosha,
 
Mambo mswano ila kuna team macho kuvimba wanataman na wao waje chumbani. Hahahahha

Kuja chumbani kutafuta nini? Ubuyu au mauroda ya mbeba maboksi?

Subiri na wewe waje wakuanzishie uzi: Husninyo kaolewa na Nyani Ngabu.....

Utakoma. Na nilivyo na mahela....ntaambiwa nimekuhamishia kisiwa cha Mbudya maana kile cha Bongoyo hakitoshi.
 
Hahahahah! Wanataka waone mauroda ya mbeba boksi kama kiuno feni au vipi. Lol. Kuna mtu kaanzishiwa uzi[emoji15] .. eeeehh
 
Hahahahah! Wanataka waone mauroda ya mbeba boksi kama kiuno feni au vipi. Lol. Kuna mtu kaanzishiwa uzi[emoji15] .. eeeehh

Kisura anaupenda wimbo wa Malkia wa nguvu.....anataka siku moja muucheze wote.
 
Pouwa pouwa...halafu tukitoka hapo tutaenda kwenye kisiwa changu....hujaupata ubuyu wewe?

Nina kisiwa huko Bongoyo kinaitwa 'Ngabu Island'😀. [ Kiranga]

Btw, tell 'em what my name is...

You are James...... James Jedda.....

Huo ubuyu naumumunya tuu japo hauna pilipili kama ule wa zanzibar hivo hauna mashikooo hata hauwashi, raha ya ubuyu uwashe banaaa

Ubuyu wa Zanzibar ndo kiboko labda uibuke ubuyu wa Mombasa ndo uupiku wa Zanzibar

Hhahahaaaa Bongoyo Island ....... na nnavopenda kuogelea I'll be like a fish swinging and dancing in the ocean.

Kasie.
 
You are James...... James Jedda.....

That's right babes...James...James Jeddah.

Next time write the name correctly, though. Okay babes?

Huo ubuyu naumumunya tuu japo hauna pilipili kama ule wa zanzibar hivo hauna mashikooo hata hauwashi, raha ya ubuyu uwashe banaaa

Ubuyu wa Zanzibar ndo kiboko labda uibuke ubuyu wa Mombasa ndo uupiku wa Zanzibar

Just forget about it. This is Negativity Free Zone.

Hhahahaaaa Bongoyo Island ....... na nnavopenda kuogelea I'll be like a fish swinging and dancing in the ocean.

Kasie.

Now this is what I'm talkin' 'bout!

You go cop your sexy Tory Burch bikini and let's set sail to Bongoyo Island where we can swim in the timeless currents of pure bliss.

Legooooooo

#WeLoveLiving#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…