Kuanzishwa mahakama ya mafisadi ni Mahakama zilizopo zimezidiwa au kutakuwa Na Sheria tofauti?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Kwa wanasheria nimesikia serikali Yetu katika kupambana Na mafisadi imeamua kuanzisha Mahakama yao Na kutenga fedha Kwa ajili ya Mahakama hiyo.Ninachoomba Kwa wanasheria wetu je uanzishwaji wa Mahakama ya mafisadi in kutokana Na Mahakama zilizopo kuzidiwa Na kesi au Mahakama za mafisadi zitakuwa Na Sheria zake tofauti?
 
Back
Top Bottom