shikwashikwa
Senior Member
- Jun 5, 2015
- 188
- 46
Habari zenu ndugu wajenzi wa amani,
Ndio unapodhungumzia mapenzi unaijenga Amani kwa kanuni ile ile ya Upendo.Ndugu yenu nina wazo nadhani njaa hizi zimepelekea nikafikia kuwaza kuanzisha Chuo cha mafunzo ya ndoa.
Najua kuna event huwa zinafanyika kwenye jamii yetu pindi watu wanapoamua kuwa pamoja kama kitchen part na beg part, sina nia mbaya ya kuharibu mfumo huo ambao umekuwapo tangu enzi na enzi na najua kuwa kuna mafundisho ya ndoa kwenye imani zetu sawa sina tatizo nao.
Mimi nataka nijikite kwenye mambo 3 yafuatayo.
1~Kujua kama mpenzi ulienae ni sahihi (hapa utahitajika kunipa tabia zote za mwenzi wako) coz miezi 2
2~Jinsi ya kuishi kwa hisi pamoja (hapa ndio muhimu sana na panabeba mantiki nzima ya mapenzi) coz miezi 3
3~Jinsi ya kutongoza.(hapa ni kwa jinsia zote na jinsi ya kukubali/kukataa bila kuleta mazala kwa muhusika) hapa ni mwezi
Kozi zote tutazifundisha jioni na alfajiri bila kuingilia ratiba zenu za kila siku kwenye majukumu yenu. Matumaini yangu tutapunguza kama sio kumaliza kabsaa matatizo lukuki yanayokabili mahusiano yetu na ndoa zetu.
Asante naomba mawazo yenu ili nianze mchakato rasmi