Mkuu nadhani cha maana ni product na sio process (kama unaweza ukaweka ingredients safi, zikapimwa na zisiwe na madhara kiafya, basi you are on to a winner)
Ushauri kabla hauja-invest kwenye machinery kwanza cheki product yako hata home made wape watu wataste ili uone kama inafaa na wanaipenda na watainunua sidhani kama unahitaji vifaa vya bei kwa kuanzia)
Anyway angalia hii link kwa kuanzisha same think (requirements kwa marekani) am sure process zitakuwa sawa
How to Become a Micro-distiller of Alcohol | eHow.com
Ni wazo zuri sana. Hapa A - town, kuna jamaa wanaitwa Mega Trade wao wanatengeneza spirits na brand yao kubwa ni Kiroba original gin. Kwa kweli walianza kwa kudharauliwa lakini sasa ni matajiri wakubwa.
Tunao mfano wa jamaa wa Banana Investment watengenezaji wa banana wine ambao walianza kama mchezo na sasa ni matajiri.
Ni kweli mkuu au kwa kuanzia unaweza ukaanza na products ambazo zinajulikana (hizi pombe za kienyeji) mfano mbege, rubisi, mnazi (kama zinaweza kuwa packaged vizuri na kupatikana mijini sehemu nzuri (mfano supermarket na hoteli kubwa kubwa) hata mimi nitanunua ila shida inakuja ukitaka mbege, rubisi au mnazi mpaka uende vichochoroni au kwenye vilabu.., kama hizi mambo zingekuwa kwenye supermarkets na mainstream.., hata hapa mimi sasa hivi ningekuwa nina glass yangu ya mbege...
Alafu kumbuka hata wanaotengeneza gongo... (ule mtambo wao ni distillery) na nina uhakika hawakutumia pesa nyingi kwa huo mtambo.., pia chombo cha kupimia alcohol sio bei mbaya kabisa.. (my point being ukiwa na product huitaji kuwa na vifaa vyako unaweza kwenda hata kwa breweries / chibuku au wale jamaa wa Arusha na ukaingia nao terms za wenyewe kutumia vifaa vyao alafu mnagawana mapato ni pombe inakuwa na brand yako
Ndio hivyo mkuu, ila mimi siongelei brand naongelea process.., yaani apart from ingredients wine zote zinatengenezwa sawa, na apart from ingredients spirits zote zinatengenezwa sawa (yaani konyagi, viroba, gongo n.k.) hivyo basi unaweza kutumia mitambo ya gongo kutengeneza brand yako, ingawa hii ukaifanya bora kwa kupima kiwango cha alcohol au kuweka vionjo tofauti (ingredients) ndio maana nikasema kwa kuanzia unaweza kutengeneza chupa chache as sample kwa kutumia mtambo wa gongo wa mtu huko mitaani..Hahahaa, kaka wazo lako ni zuri sana, lakini mimi ningependa "kuunda" brand yangu iliyo tofauti kabisa na hzo unazosema, spirit yenye kunywewa na jinsia zote na rika zote ispokuwa watoto!
Ndio hivyo mkuu, ila mimi siongelei brand naongelea process.., yaani apart from ingredients wine zote zinatengenezwa sawa, na apart from ingredients spirits zote zinatengenezwa sawa (yaani konyagi, viroba, gongo n.k.) hivyo basi unaweza kutumia mitambo ya gongo kutengeneza brand yako, ingawa hii ukaifanya bora kwa kupima kiwango cha alcohol au kuweka vionjo tofauti (ingredients) ndio maana nikasema kwa kuanzia unaweza kutengeneza chupa chache as sample kwa kutumia mtambo wa gongo wa mtu huko mitaani..
Tena kama unapenda brandy (ambayo hii huwa ni tamu zaidi) unaweza kutengeneza wine alafu ukaifanyia distallation cheki hapo chini ambavyo unaweza kutengeneza brandy hata weekend moja ukiwa jikoni kwako bila kutumia pesa nyingi kununua vifaa
How to Make Home Made Brandy | eHow.com
Fikiria kutengeneza Beer ,kwa bei poa ,nikimaanisha below 1000 retail price.
China mtambo wa kuunda beer ni around dola 50 elfu.pia ipo midogo ya hapo.