Habari wana jamii
Ninaomba kwa anaefaham anijuze utaratibu wa kuanzisha Community based organisation (CBO) wilaya, tayari tumesha andaa katiba pamoja na muhtasari wa kikao hivyo tunahitaji kufaham hatua zinazofuata.
Natumai nimeeleweka wakuu.
nawasilisha.