Kuanzia Sasa Iran itashambuliwa muda wowote

Kuanzia Sasa Iran itashambuliwa muda wowote

Anataka collabo siku zote wakati ana teknolojia ya juu itakua bado hajiamini.

"The U.S. special envoy for Iran says the United States wants international partners to join forces to increase maritime security in the Persian Gulf"
Bila collabo ina maana hawawezi pigana mpaka wasaidiwe hapo ndipo wananichanganya
 
Wakati tukishabikia vita hii huko mbali, tukumbuke jirani zetu Congo hapo waasi wanauana vibaya na vikosi maalum tiifu kwa serikali ya R.
 
Dawa ya marekani inatakiwa Iran awachape kisawasawa nchi yeyote itakayosaidia marekani kurusha makombora yake yani ni kutandika ile yenyewe watatulia tu
Si rahisi kama unavyodhani.
 
Waziri mkuu hana nguvu kubwa kama ya Rais.Hata hapa bongo si mliona Majaliwa kaja na wanunuzi wa korosho.Rais akasema no.Russia pia Rais ana nguvu kikatiba kuliko waziri mkuu.Nilifuatilia kuvamiwa kwa Libya mwanzo mwisho.Nakuambia Putin angekuwa Rais kipindi kile lazima angeweka veto yake pale kwenye security council ya UN.
Yan Rais alikua kama kivuli tu,kiongozi alikuwa putin
 
Waziri mkuu hana nguvu kubwa kama ya Rais.Hata hapa bongo si mliona Majaliwa kaja na wanunuzi wa korosho.Rais akasema no.Russia pia Rais ana nguvu kikatiba kuliko waziri mkuu.Nilifuatilia kuvamiwa kwa Libya mwanzo mwisho.Nakuambia Putin angekuwa Rais kipindi kile lazima angeweka veto yake pale kwenye security council ya UN.
Wewe unaona Veto inafanya kaz kwa marekani? Iraq wakati mwanaume Bush anaingia China na Russia walifanyaje? Je marekan ilisimama? Yaan hata balozi wa Russia alieluwepo Baghadad alikua wa mwisho kuondoka, alilazimishwa kutoea Pakstan under American Escot and not to fly
 
Mbona Mrusi haeleweki, inamaana kumbe yeye ndo anamkingia kifua Isarel anapofanya ufedhuli wake dhidi ya Iran kule Syria!!? Russia ajibainishe yuko upande gani asiwe ndumila kuwila.
... bro linapokuja suala la Israel hawa jamaa US, Russia, na hata Saudia (siku za karibuni) lao moja! Iran mwenyewe ameshashtukia anaingizwa chaka na Russia kuhusu Israel.
 
Mimi kuna siku za nyuma nilimjibu jamaa humu Warusi huwa hawamsaidii mtu,
yule jamaa alisema Hazbullah alipigwa mpaa Mrusi akaingilia kwenye vita, nikamjibu Mrusi kaingia vita baada ya Hazbullah kuwamaliza wafuasi wa Israel na USA.

Kenda pale Syria kinafiki tu, hataki hata Syria kumkabidhi S-300 waicontrol wao.

Urusi c wa kuamini kabisa.
... at least wewe "umetoa ya moyoni" tofauti na wanafiq wengine humu wanaodhani Russia ni rafiki kwa Iran kuliko Israel! Huwa nikisoma comments zao humu nachekaga sana kwa upumbavu wao.
 
... bro linapokuja suala la Israel hawa jamaa US, Russia, na hata Saudia (siku za karibuni) lao moja! Iran mwenyewe ameshashtukia anaingizwa chaka na Russia kuhusu Israel.
Myahudi wa Nzega ningeshangaa sana kama usingekuja kubwabwaja pumba hapa,
Weka ushahidi kua Saudi na Russia wameungana coz ya suala la Israel (kama wameungana kweli)
 
Uwaziri mkuu wa putini ni watofauti kwanza alijitanguliza madaraka kabla ajajipa cheo hicho kwahiyo alikuwa na nguvu zote
Sio kweli bwana. Alikuwa strong kwenye mamalaka yake kikatiba lkn hakuwa na powers kwenye mamlaka ya rais
 
Mbona Putin aliamuru Russia kuishambulia Georgia na wakati huo akiwa waziri mkuu. Mesdvedev alikuwa boya tu.
Lete ushahidi kuwa putin ndiye aliyeamuru? Hv ww unazania kuiingiza nchi vitani ni jambo rahisi namna hiyo?
 
USA, Russia, UK and Israel are birds of the same feather.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom