Kuanzia leo naacha pombe

Sina cha kukushauri coz nakunywa nikiamua ila siyo eti nikiona bia naweza ahirisha shughuli , nilitaka niwe mywaji ila bia zisinitawale nizitawale mm
 
Una umri gani mkuu?
 
hujui nchi hii inaendeshwa kwa Kodi inayotokana na pombe?? acha uoga wewe endelea kuchangia maendeleo.
 
Nitafute. Nitakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…