Kuanzia leo naacha pombe

Nafikiri una rafiki mwenye kipato kama chako na hanywi. Hizo ambazo umezinywea yeye asiyekunywa kafanyia nini.
Uwe na mipango ya maisha yako. Ukifeli usisingizie pombe. Kuna wanywaji wengi na wana maendeleo mazuri tu.
 
Bonga bar ilikua na wahudumu idadi sawa na wateja. Kila mteja na mhudumu wake. Kulikua na vyumba viwili kama gesti bubu. Uchafu uliofanyika Bonga bar ni kama ule wa Kwamachein migomigo. Sewa Buguruni. Shentembar kino. Deluxe Magomeni. Sugar ray. Ile
Mboka buguruni cha mtoto. We acha tu. Ukiambiwa kuna watu waliokunywa Deluxe bado wanadunda!@@
 
Hii ndio point kubwa.kuna wengine wakishtua wanapata ujasiri Wa kusaka mahela.
Labda ungepiga hesabu na deal ngapi au watu wangapi wa maana uliokutana nao huko unapokunywaga.

Wakati mwingine faida ya pombe sio kinywa tu je imekuunganisha na watu wangapi au deal ngapi?
 
Nikipiga hesabu nitazimia maana hesabu zako ni robo kwangu 🙆🍻 eeeh muokozi nitowe roho niepuke hilibalaaaaaaa!
 
Nimepunguza sana pombe ila sasa nimekuwa kama na vurugu flani hivi siku nikilewa.

Kingine kwa sasa nikilewa baadhi ya kumbukumbu zinapotea. Nachoshukuru sitoi ofa kijinga
 
Mkuu badilisha aina ya bia unayokunywa hapo utakuwa umepunguza expenditure size na bado ukala bata kama kawa.
 
Mie nilikuwa zaidi yako mkuu mpka nw watu wanaonijua bado hawaamini kama pombe kwngu ni historia... nmeacha rasmi trh 1/10/2014 mpka sasa sijawah itia mdomoni so ni miaka mitano sasa..
 
Mie nilikuwa zaidi yako mkuu mpka nw watu wanaonijua bado hawaamini kama pombe kwngu ni historia... nmeacha rasmi trh 1/10/2014 mpka sasa sijawah itia mdomoni so ni miaka mitano sasa..

Hongera zako dady
 
Nelekea kupata ushindi waungwana karibuni katika chama.

Bar naenda kama kawaida pombe ndio sinywi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…