FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,911
- 109,260
Hasira zenu ka Lukosi ni kuipiga chini chadema na kurudi CCM.
Nyie badala ya kuuliza hela zenu za mchango watu wamejifanyia saccos huko mmekaa mnalalama humu.
Ile ahadi ya kuhalalishwa gongo imewapa motisha sana hawa wanywa viroba, ndio maana sometime wanaandika vitu vya ajabu!
Watu wengine Akili zao balaa tupu.. Kufanya hivi hata tusiojua Sasa tumeelewa .. Ni Kama umelitangazia taifa Kwamba Umetafuna limbikiza Za mfiwa..Ndugu zanguni,
Ilianza kama utani lakini naona sasa watu wamenikomalia sana kwenye hii ishu ya rambi rambi za Mwangosi.
Hela nitoe mwenyewe halafu nipigiwe kelele mimi. Niliishawaambia kuwa hela alikabidhiwa Msigwa na akakubali sasa mnataka nini tena?
Kuanzia leo yeyote yule atakaesema nimekula rambi rambi mimi nitampeleka mahakamani.
Ifikie wakati tuheshimiane
JITAMBUE!
Nasikia hata sare za jeshi la Polisi hajazikabidhi huyu bwana!!!!!!!!Mimi sikuogopi wala sihofii chochote. Mimi n verified member humu JF kama wewe . Naendelea kukususitiza ufanye mpango umpelekee Mjane wa Mwangosi hela za rambirambi ulizokula. Huna roho ya ubinadamu kabisa.
Ukitaka kunipeleka mahakamani niambie niwaelekeze polisi waje wanikamate.
Vp unataka kumchumbia mke wangu..
Teh teh teh tatizo wameanza ukapuya toka wakiwa chekechea..Mume wangu tatizo wengine tunazeeka na bahati zetu maana kakigoli kakiume kama haka kameshanitamani, hii dunia hii si nitafungwa kwa kubaka kikongwe miye jamani dooooh
Vp unataka kumchumbia mke wangu..
Dah bibiako miye, subiria nife umwambie chrisslukos mpitishe rambirambi, michango ya arusi enzi zetu haikuwepo. Tena mkumbushe Lukos akila mchango wangu kama alivyofanya wa Mwangosi nitafufuka naye. Haya fikisha ujumbe kijana wangu uliye B......A.......Le....he jana
Ndugu zanguni,
Ilianza kama utani lakini naona sasa watu wamenikomalia sana kwenye hii ishu ya rambi rambi za Mwangosi.
Hela nitoe mwenyewe halafu nipigiwe kelele mimi. Niliishawaambia kuwa hela alikabidhiwa Msigwa na akakubali sasa mnataka nini tena?
Kuanzia leo yeyote yule atakaesema nimekula rambi rambi mimi nitampeleka mahakamani.
Ifikie wakati tuheshimiane
JITAMBUE!
Ndugu zanguni,
Ilianza kama utani lakini naona sasa watu wamenikomalia sana kwenye hii ishu ya rambi rambi za Mwangosi.
Hela nitoe mwenyewe halafu nipigiwe kelele mimi. Niliishawaambia kuwa hela alikabidhiwa Msigwa na akakubali sasa mnataka nini tena?
Kuanzia leo yeyote yule atakaesema nimekula rambi rambi mimi nitampeleka mahakamani.
Ifikie wakati tuheshimiane
JITAMBUE!
Lukosi anadai Mch Msigwa hajafikisha pesa ya rambi rambi kwa mjane, mjane kathibitisha kuwa hiyo rambi rambi kapokea.
Upande wa rambi rambi toka UK ambazo Lukosi ndie aliezichangisha hazijakabidhiwa zote! Upo hapo ndugu?