Kuanzia leo atakaesema nimekula rambi rambi namburuza kortini, wakili wangu anaandaa mashtaka

Ile ahadi ya kuhalalishwa gongo imewapa motisha sana hawa wanywa viroba, ndio maana sometime wanaandika vitu vya ajabu!

nilikua nasikia harufu mbaya nikajiuliza kunani kumbe wewe umeingia, ukitoka ntarudi
 
Kaka Chris Lukosi kula rambirambi ni laana na aibu, Pia naskia umeanza kuandaa mchakato wa kuchangisha rambirambi za marehem waziri Mgimwa, please naomba usije ukala tena na hizi kama ulivyokula rambirambi za mjane wa Mwangosi.
 
Ndugu zanguni,

Ilianza kama utani lakini naona sasa watu wamenikomalia sana kwenye hii ishu ya rambi rambi za Mwangosi.

Hela nitoe mwenyewe halafu nipigiwe kelele mimi. Niliishawaambia kuwa hela alikabidhiwa Msigwa na akakubali sasa mnataka nini tena?

Kuanzia leo yeyote yule atakaesema nimekula rambi rambi mimi nitampeleka mahakamani.

Ifikie wakati tuheshimiane

JITAMBUE!
Watu wengine Akili zao balaa tupu.. Kufanya hivi hata tusiojua Sasa tumeelewa .. Ni Kama umelitangazia taifa Kwamba Umetafuna limbikiza Za mfiwa..

Kweli jina la mtu ni Kama alivyo likifanana Na Mkosi Basi ni mikosi tu
 
Ngawira kweli no km shetani vile...uaminifu na uadilifu kwenye ngawira no mtihani ambao so wengi wanaofuzu! Tujitahidi kulinda integrity!
 
Mimi sikuogopi wala sihofii chochote. Mimi n verified member humu JF kama wewe . Naendelea kukususitiza ufanye mpango umpelekee Mjane wa Mwangosi hela za rambirambi ulizokula. Huna roho ya ubinadamu kabisa.
Ukitaka kunipeleka mahakamani niambie niwaelekeze polisi waje wanikamate.
Nasikia hata sare za jeshi la Polisi hajazikabidhi huyu bwana!!!!!!!!
 
Vp unataka kumchumbia mke wangu..

Mume wangu tatizo wengine tunazeeka na bahati zetu maana kakigoli kakiume kama haka kameshanitamani, hii dunia hii si nitafungwa kwa kubaka kikongwe miye jamani dooooh
 
Lukosi wewe wape list ya majina na ionyeshe kiasi walichotoa watu basi watakuacha bila kukusumbua.

Hata kortini utaulizwa juu ya michango hiyo mwanzo hadi mwisho uonyeshe vikolombwezo sasa itakuwaje kama hauna?
Naongelea karatasi uliyokuwa unaandika majina ya waliochangia hadi ikafikia kusema total, ulivyotuma kwa nduguyo, mawasiliano yako na yeyote juu ya pesa hizo (records zote hata kama ni sms, whatsapp, viber) as mtu unaweza sevu conversations muhimu
 
Mume wangu tatizo wengine tunazeeka na bahati zetu maana kakigoli kakiume kama haka kameshanitamani, hii dunia hii si nitafungwa kwa kubaka kikongwe miye jamani dooooh
Teh teh teh tatizo wameanza ukapuya toka wakiwa chekechea..
 
Dah bibiako miye, subiria nife umwambie chrisslukos mpitishe rambirambi, michango ya arusi enzi zetu haikuwepo. Tena mkumbushe Lukos akila mchango wangu kama alivyofanya wa Mwangosi nitafufuka naye. Haya fikisha ujumbe kijana wangu uliye B......A.......Le....he jana

Age is just a number eti...huyu Lukosi mnamuonea bure,rambirambi haina risiti!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zanguni,

Ilianza kama utani lakini naona sasa watu wamenikomalia sana kwenye hii ishu ya rambi rambi za Mwangosi.

Hela nitoe mwenyewe halafu nipigiwe kelele mimi
. Niliishawaambia kuwa hela alikabidhiwa Msigwa na akakubali sasa mnataka nini tena?

Kuanzia leo yeyote yule atakaesema nimekula rambi rambi mimi nitampeleka mahakamani.

Ifikie wakati tuheshimiane

JITAMBUE!

Dah pole mkuu,
Mimi huwa naona tu watu wanapost umekula rambirambi lakini sijawahi kufuatilia ishu hii. If you dont mind funguka ilikuwaje mkuu, yaani ulitangaza kutoa mchango wa rambi rambi, baadaye ukampa mtu apeleke kwa msigwa ili aiwasilishe kwa mhusima au ilikuwaje Mkuu, pole sana.
 
Ndugu zanguni,

Ilianza kama utani lakini naona sasa watu wamenikomalia sana kwenye hii ishu ya rambi rambi za Mwangosi.

Hela nitoe mwenyewe halafu nipigiwe kelele mimi. Niliishawaambia kuwa hela alikabidhiwa Msigwa na akakubali sasa mnataka nini tena?

Kuanzia leo yeyote yule atakaesema nimekula rambi rambi mimi nitampeleka mahakamani.

Ifikie wakati tuheshimiane

JITAMBUE!

Chris, Jifunze kuheshimu wengine ili nawe uheshimiwe!
Jitahidi kuwa na ngozi ngumu kama Wanasiasa ambao unawakashifu na kuwapamba kila siku. Mbona yule shoe shiner wa kule Kihesa ambaye ni Mbunge hajawahi kukutishia Mahakama?
 
Back
Top Bottom