Hayo ni maono MWENYEEZI MUNGU amekuonyesha kinachotakikana kwa upande wako ni uthubutu tu, yaani kuanza bila kupoteza muda mengine utajifunzia humo humo ndani ya project yako,ukitaka kuuliza kila kitu kabla utakwama,kikubwa jitahidi ujiunge na group za wafugaji wenzio kwa wasap kwa ushauri na kubadilisha mawazo, na utafute vet mzoefu wa maswala ya ufugaji, then Anza project yako huku ukimtanguliza MUNGU utafika tu,changamoto utakazo kutana nazo zisikutoe kwenye plan yako, changamoto ziwe daraja la kukuvusha ,kwa sababu mafanikio yamefichwa ndani ya changamoto, pambana pambana pambana bila kukata tamaa,Asante ,Fuga nyoka vuna sumu, utanishukuru baadae
Nashukuru kwa ushaur wakoHayo ni maono MWENYEEZI MUNGU amekuonyesha kinachotakikana kwa upande wako ni uthubutu tu, yaani kuanza bila kupoteza muda mengine utajifunzia humo humo ndani ya project yako,ukitaka kuuliza kila kitu kabla utakwama,kikubwa jitahidi ujiunge na group za wafugaji wenzio kwa wasap kwa ushauri na kubadilisha mawazo, na utafute vet mzoefu wa maswala ya ufugaji, then Anza project yako huku ukimtanguliza MUNGU utafika tu,changamoto utakazo kutana nazo zisikutoe kwenye plan yako, changamoto ziwe daraja la kukuvusha ,kwa sababu mafanikio yamefichwa ndani ya changamoto, pambana pambana pambana bila kukata tamaa,Asante ,
Asante nitamchekiUshauri wangu. Tafuta mtu anaitwa malembo farm. Mcheki twitter. Nenda kamuone zungumza nae. Atakufundisha. Kama huna muda peleka staff unayemuamini amtrain. Gharama kubwa iko kwenye chakula cha kuku. Ukipewa mafunzo utaokoa asilimia 75 ya gharama ya chakula.
Utapata faida. Yeye anakupa mafunzo kwa vitendo. Achana na pdf na ushauri wa mtandaoni
Ushauri mzuri nimeupokea nitahakikisha naufanyia kazi.Nakupongeza sana kwa hatua uliofikia, ufugaji wa kuku wa mayai ndo uliowapa utajiri wazazi wangu na kutusomesha watoto wote, tukiwa nyumbani kazi yetu ilikuwa kuokota mayai na kuosha vyombo vya kuku.
Wazee walikuwa wanauza bei ya kawaida hivyo wateja wengi wa jumla walikuwa wanajazana asa wale wakulya wa kuendesha Baiskeli, pia alikuwa na oda maalumu kwenye hoteli.
Jambo la kuzingatia ambalo niliojifunza kwao:
1. usimamizi wa karibu mno, yaani ni kuacha kazi ili ufanye kazi, akikisha unawapa majani, usitegemee madawa tu ya vitamini, ukitumia majani mayai yanakuwa na rangi nzuri na pia majani uwa ni dawa kwa kuku kwnye magonjwa mengine.
2. Kuku yoyote anayekufa, muite daktari ili amchunguze na kujua chanzo, hii inasaidia kuokoa mifugo iliyobaki na inakupa uzoefu wa kutambua ugonjwa huo ukitokea tena.
3. Zuia muingiliano wa watu kwenye mabanda yako kuokoa magonjwa.
4. Kuwa makini na chakula, maana inachangia sana kwenye ukuaji wa kuku wako.
Dah[emoji23]Fuga nyoka vuna sumu, utanishukuru baadae
Mengine acha yakupiteMwandiko mbaya ata sijasom
Sema uandishi mbaya we kilaza mwenye kujifanya unajua wakati hujui kuliko mtoa nada. Hakuna maamuzi ya mwandiko kwa muandishi ktk tablet,computer au simu ya kawaida. Kwa Nini mnajifanya mnajua sana kuliko wenzenu wakati mmekariri tu kama wengine.Mwandiko mbaya ata sijasom
Sema uandishi mbaya we kilaza mwenye kujifanya unajua wakati hujui kuliko mtoa nada. Hakuna maamuzi ya mwandiko kwa muandishi ktk tablet,computer au simu ya kawaida. Kwa Nini mnajifanya mnajua sana kuliko wenzenu wakati mmekariri tu kama wengine.
Kama hawa?Habari wapendwa mimi ni mjasiliamali hua najishighulisha na kilimo na ufugaji tangu nimalize chuo sikuhitaji ajira kivile ingawa mwanzo tu nilipo graduate niliajiliwa compuni moja binafsi ila sikukaa sana nikaacha nikaamua kulima.nimeshalima mazao mbalimbali iñgawa nilipitia changamoto fulani fulani ila changamoto kubwa niliojifunza ni Mtaji.Kilimo ni PESA kama huna mtaji mkubwa acha kulima borà ununue mazao otherwise utatumia muda mwingi kukusanya mtaji katika kilimo sabab si kila mwaka utapata utajikuta unaanguka kila mara na kuinuka.Binafsi nimeamua kuwekeza ktk ununuaji wa mazao na kueka stoo na ninaanza na Mpunga wa milion 40.utaàlam wa kujua mpunga mźuri ninao pia ukweni kwangu ndio biashara yao kuu ni wakulima wazuri mno wa mpunga sijaamua kulima sabab ya hii project ya kuku ninayotaka kuianza hapa nyumban.sitaki kukosa hata siku moja ktk usimamizi so niliona sitaweza kulima kilimo cha remote nime opt ninunue mazao wakati wa mavuno na kuuza baadae.hiyo pesa nimajiwekea niizungushe kwa miaka 3-5 bila kuigusa ijizungushe yenyewe kwa miaka kadhaa.
Upande wa kuku ninao kuku wa kienyeji wachache kama 60 ikiwa chotara ni 40 tetea 10jogoo na kienyeji pure nilikua nao tu wapa home wanataga ninano jogoo 1 na tetea 9. Hivyo kienyeji nitaanza nao haohao 60 sabab sitak ku base sana ktk kienyeji sabab nimeshakua nao hakuna jinsi nitaendelea nao mdogomdogo.
KUKU WA MAYAI hii ndo project ninayotaka kuianza nina eneo la kutosha lina fance na limejitenga kwa maana kuna ukuta katikati kutenganisha uani kwangu na huo uwa wa pili ni kama 11m x 25m.tulipozungushia ukuta mwanzon nilitaka kukata vyumba vya wapangaji ila baadae tukaamua na mr niweke kuku kwanza
Natarajia kuanza na kuku 550 wa mayai then nitaendelea kutanua banda kidogo kidogo kufikia kuku 2000 kwa hapa home .ufugaji ni ktk cage kuanzia vifaranga hadi kuku wakubwa. Ingawa sijajua vizuri ukubwa huu wa eneo utaingia cage ngapi but nitahakikisha wanafika 2000 hata ikibidi kutumia cage za mayai 128
Kuju hawa hawataingiliana na hawa wa kienyeji as wa kienyeji wapo ktk banda lao upande wa uwan kwangu.
Mtaji wa hao kuku 550 hadi kufikia kutaga sio shida as nina akiba ya 7milion na Mr atanibust 100% hiyo milion 7 yangu ni akiba yangu tu nikitoa pesa ya mazao nitaiweka kama emergency.
Ķwa nini nimekuja hapa
Nimekuja ili mnitie nguvu na kila nikiiona hii thread niwe nàfarijika na kutokata tamaa.sabab tumejarib ufugaji wa mbali nje ya mji ila wasimamizi walinivunja moyo nina ekari karibia 30 pwani ila nimefail kuliwekezea kwa kukosa usimamizi mzuri.hapo baadae nitalichimbia kisima nilime mahindi kwa ajili ya chakula cha hawa kuku nitaoanza nao hapa home.
Kwa wazoefu wa kuku wa mayai nambeni ushauri wenu na ujuzi wenu je ili kuku wa mayai wakulipe vizuri unatakiwa uwe na kuku wangapi?
Mnakuwa mnawaza kwa kutumia matako? Kila sehemu ni joke?Fuga nyoka vuna sumu, utanishukuru baadae
Daah hii niliiona insta ila kila biashara ina changamoto zake na changamoto ya kuku ni vifo kwa hilo nimejiandaa kisaikolojia cha msingi ni kua makini sanaKama hawa?View attachment 2498715
Hongera kwa wazo zuri. Ukilitekeleza kwa ufanisi itakufaaHabari wapendwa mimi ni mjasiliamali hua najishighulisha na kilimo na ufugaji tangu nimalize chuo sikuhitaji ajira kivile ingawa mwanzo tu nilipo graduate niliajiliwa compuni moja binafsi ila sikukaa sana nikaacha nikaamua kulima. Nimeshalima mazao mbalimbali iñgawa nilipitia changamoto fulani fulani ila changamoto kubwa niliojifunza ni Mtaji.
Kilimo ni PESA kama huna mtaji mkubwa acha kulima borà ununue mazao otherwise utatumia muda mwingi kukusanya mtaji katika kilimo sabab si kila mwaka utapata utajikuta unaanguka kila mara na kuinuka.Binafsi nimeamua kuwekeza ktk ununuaji wa mazao na kueka stoo na ninaanza na Mpunga wa milion 40.
Utaàlam wa kujua mpunga mźuri ninao pia ukweni kwangu ndio biashara yao kuu ni wakulima wazuri mno wa mpunga sijaamua kulima sabab ya hii project ya kuku ninayotaka kuianza hapa nyumban.sitaki kukosa hata siku moja ktk usimamizi so niliona sitaweza kulima kilimo cha remote nime opt ninunue mazao wakati wa mavuno na kuuza baadae. Hiyo pesa nimajiwekea niizungushe kwa miaka 3-5 bila kuigusa ijizungushe yenyewe kwa miaka kadhaa.
Upande wa kuku ninao kuku wa kienyeji wachache kama 60 ikiwa chotara ni 40 tetea 10jogoo na kienyeji pure nilikua nao tu wapa home wanataga ninano jogoo 1 na tetea 9. Hivyo kienyeji nitaanza nao haohao 60 sabab sitak ku base sana ktk kienyeji sabab nimeshakua nao hakuna jinsi nitaendelea nao mdogomdogo.
KUKU WA MAYAI hii ndo project ninayotaka kuianza nina eneo la kutosha lina fance na limejitenga kwa maana kuna ukuta katikati kutenganisha uani kwangu na huo uwa wa pili ni kama 11m x 25m. Tulipozungushia ukuta mwanzon nilitaka kukata vyumba vya wapangaji ila baadae tukaamua na mr niweke kuku kwanza
Natarajia kuanza na kuku 550 wa mayai then nitaendelea kutanua banda kidogo kidogo kufikia kuku 2000 kwa hapa home .ufugaji ni ktk cage kuanzia vifaranga hadi kuku wakubwa. Ingawa sijajua vizuri ukubwa huu wa eneo utaingia cage ngapi but nitahakikisha wanafika 2000 hata ikibidi kutumia cage za mayai 128
Kuju hawa hawataingiliana na hawa wa kienyeji as wa kienyeji wapo ktk banda lao upande wa uwan kwangu.
Mtaji wa hao kuku 550 hadi kufikia kutaga sio shida as nina akiba ya 7milion na Mr atanibust 100% hiyo milion 7 yangu ni akiba yangu tu nikitoa pesa ya mazao nitaiweka kama emergency.
Ķwa nini nimekuja hapa
Nimekuja ili mnitie nguvu na kila nikiiona hii thread niwe nàfarijika na kutokata tamaa.sabab tumejarib ufugaji wa mbali nje ya mji ila wasimamizi walinivunja moyo nina ekari karibia 30 pwani ila nimefail kuliwekezea kwa kukosa usimamizi mzuri.hapo baadae nitalichimbia kisima nilime mahindi kwa ajili ya chakula cha hawa kuku nitaoanza nao hapa home.
Kwa wazoefu wa kuku wa mayai nambeni ushauri wenu na ujuzi wenu je ili kuku wa mayai wakulipe vizuri unatakiwa uwe na kuku wangapi?