Kuanza Maisha ya Ndoa (Tafakari)

Kuanza Maisha ya Ndoa (Tafakari)

Mie nakushauri UJIPANGE zaidi kiakili kuliko kifedha..kwa sababu hata bila kuoa pesa utaitafuta tu!
Ninaposema ujipange kiakili namaanisha 'utayari wa kujenga familia'..manake ndoa sio kumiliki papuchi tu kuna majukumu pia!
Kwa hiyo cha msingi jiulize kama uko tayari kiakili and then look for someone ambaye naye atakuwa na mtazamo kama wako!..Tatizo unaweza ukawa mwenyewe umejipangilia vizuri bahati mbaya ukaangukia kwenye 'miiba'..beware of matching..itakusaidia! Mengine yanakujaga tu automatically na yatasoviwa pale yatakapokuja!!.....
 
Duh JF usipokuwa na akili za mbayuwayu!!!!!

Ila aisee kama haupo financially independent (I MEAN: Huishi kwa kutegemea mwisho wa mwezi a.k.a mshahara) subiri kwanza hata huyo mchumba atakuona wa maana!!!

Ila hili la kupata kazi limewadanganya vijana wengi hasa walioajiriwa private companies na kupewa mishahara mikubwa kiasi...wao straight kuoa tofauti na sie tuliojitolea kulitumikia taifa directly (serikalini) yani mpaka uje kufikiri kuoa....!!!
 
Duh!...lara1 acha ukali mama!


Debe Tupu Haliachi Kutika!!!!!!! Na nakufatilia kwa ukaribu Ole wako Usioe hii 2013 Nakuja Auditing Firm Kukusuta na Mashujaa Band!!!!!!!!!!

Yaaaani jiangalie sanaa 31 Dec 2013 isikukute bila mke! Huwez kutoa promise za rejareja humu jamvini afu tukuache tu!
 
Debe Tupu Haliachi Kutika!!!!!!! Na nakufatilia kwa ukaribu Ole wako Usioe hii 2013 Nakuja Auditing Firm Kukusuta na Mashujaa Band!!!!!!!!!!

Yaaaani jiangalie sanaa 31 Dec 2013 isikukute bila mke! Huwez kutoa promise za rejareja humu jamvini afu tukuache tu!

Kausha basi.. Khe yamekuwa hayo, we umesahau ndoa zetu tunaowana j mos tunaachana jumatatu?

2013 ndo mwaka wangu,, haijalishi nilambe joka au nilambe dume?

Tuliocheza god of war 3 tunasema the end begins
 
Back
Top Bottom