Kuanza Maisha ya Ndoa (Tafakari)

Kuanza Maisha ya Ndoa (Tafakari)

The Editor

Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
23
Reaction score
5
Namshukuru Mungu amenijalia Kazi nzuri na maisha yanaenda bila tatizo.
moja ya changamoto ambayo huwa inaniumiza kichwa ni katika swala zima la muda muafaka wa kuanza maisha ya ndoa,
kwa vijana wengi, mtu akishapata kazi alaf akaanza maisha ya kujitegemea bac haitachukua muda utasikia ameoa.
sipingi suala hili hata kidogo, najaribu kuangalia kama kuna vigezo vingine muhimu ambavyo huwa hatuviangalii.
Ni vigezo vipi ambavyo kijana unatakiwa uvitilie maanani kabla hujafanya uamuzi wa kuoa?, Je, ni umri na hali ya
kifedha tu?..upi ni muda muafaka wa kuanza hatua hii muhimu ktk maisha yetu?

naomba kuwasilisha.
 
hakuna muda maalum bt ikifika mwili na akili vyote vitarelax na we mwenyewe utanotice hapa nahitaji kuoa
 
hahaa, The Boss,..kuna baadhi ya mambo yanabadilisha the rest of your life completely (ndoa ikiwemo)..
kwa mawazo yangu nadhani inabidi ichukuliwe kwa uzito wake!..
 
Mi nikifikiria swala la kuulizwa ulizwwa uko wapi kila wakati nachoka kabisa.. Although 2013 wedding bells lazima zigongwe church..

Mengine tutajua huko huko tuache uoga vijana..

Inspecta haruni anakwambia eti bado upo upo wakati ni Uzinzi tu
 
Debe Tupu Haliachi Kutika!!!!!!! Na nakufatilia kwa ukaribu Ole wako Usioe hii 2013 Nakuja Auditing Firm Kukusuta na Mashujaa Band!!!!!!!!!!

Yaaaani jiangalie sanaa 31 Dec 2013 isikukute bila mke! Huwez kutoa promise za rejareja humu jamvini afu tukuache tu!
 
Natalia lara 1 Ciello njoo mumuone huyu kapata kazi tu na hela anawaza maisha ya kuoa hana nyumba wala hajawaza kujenga anataka aolee kwenye nyumba yakupanga sijui,hana gari mkanangane kwenye daladala ,mke huyo atakayemwoa sijui atakuwa wa namna gani ,
mtoa madahakikisha umefanya vitu hivi:
1.jenga nyumba
2.uwe na gari nzuri yako na ya mkeo mtarajiwa
3.pesa yakutosha isiyopungua hovyo
4.wekeza vyakutosha
5.waza kuoa sasa.mwanaume asiyekuwa na hivo hapo juu ni sawa na bure
 
Last edited by a moderator:
Acha Kujizeesha Kijana bado mdogo stress za nini?????? Mkioa wote nani atatununulia Bier za buree! Tumia pesa ikuzoeee!

Utajiwekaje kwa mtu mmoja maisha yako yote afu hata hujafika nusu!!!!!!!!????? Si uongo mtakatifu huo mbele ya Mola, Bible na wazazi ilihali wala huna nia ya kuacha papuch zingine forever!!!!!!1

Kula nanasi kwahitaji nafasi!!!!!!!! Shauri yako!
 
lara bora umeona , me promise kama hizi hua czisahau hata kama c mimi muhusika , chezea weding bells weyye
 
Acha Kujizeesha Kijana bado mdogo stress za nini?????? Mkioa wote nani atatununulia Bier za buree! Tumia pesa ikuzoeee!

Utajiwekaje kwa mtu mmoja maisha yako yote afu hata hujafika nusu!!!!!!!!????? Si uongo mtakatifu huo mbele ya Mola, Bible na wazazi ilihali wala huna nia ya kuacha papuch zingine forever!!!!!!1

Kula nanasi kwahitaji nafasi!!!!!!!! Shauri yako!

Hahahahaaa, NOTED!!..
 
Kila kitu sasa watu wanataka SOPs au Guidelines.. use brain and make decision!!!
 
kuna msemo unasema "Experience is the best teacher"...sio mbaya nikitafuta ushauri kwa waliotangulia kupiga hatua hii!..
 
Ukiwa na uwezo wa kununua sufuria, vijiko, bakuri kulipa kodi nyumba, pesa ya saloon mkeo, kumpiga na matenge wewe ni kukamata kigoli unaweka ndani ukirudi unakuta ugali kibua tayari mezani.
 
Natalia lara 1 Ciello njoo mumuone huyu kapata kazi tu na hela anawaza maisha ya kuoa hana nyumba wala hajawaza kujenga anataka aolee kwenye nyumba yakupanga sijui,hana gari mkanangane kwenye daladala ,mke huyo atakayemwoa sijui atakuwa wa namna gani ,
mtoa madahakikisha umefanya vitu hivi:
1.jenga nyumba
2.uwe na gari nzuri yako na ya mkeo mtarajiwa
3.pesa yakutosha isiyopungua hovyo
4.wekeza vyakutosha
5.waza kuoa sasa.mwanaume asiyekuwa na hivo hapo juu ni sawa na bure

Unahamasisha wizi wizi wewe
 
ahahaaa acha kumtisha kijana wa watu.
 
ukishanunua kitanda tafuta sasa wa kulala nae
vingine vitajileta automaticaly
 
Back
Top Bottom