Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,284
Baada ya daraja kuanza kazi, hii ndio hali halisi ya pale kivukoni kwasasa! Kufaa kufaana, kupona ni kuangamizana,
Wale wauza
Kachori
Pweza na supu yake
Wakaanga samaki
Wauza pipi, vocha, sigara
Ombaomba
Wezi na vibaka
Sasa watafute pori
Wahudumu wa kivuko
wakata tiketi
Mgambo
Waendesha kivuko
Wataungana na Ombeni Sefue kupangiwa majukumu mengine au wasubiri tripu za bagamoyo zikianza.