Kuanza kukaa mtoto wa kike

Kuanza kukaa mtoto wa kike

mecmt2

New Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana JF,

Upi umri sahihi, mtoto wangu ana miezi mitatu na week 3.

Asanteni sana.
 
Miezi mitatu mtoto wa kike unaweza kuanza kumfundisha kukaa mkuu.Usihofie,huo ndio umri muafaka kwa mtoto wa kike.
 
Miezi mitatu mtoto wa kike unaweza kuanza kumfundisha kukaa mkuu.Usihofie,huo ndio umri muafaka kwa mtoto wa kike.

...kwani ni kumfundisha au hua inatokea naturally, then utamfundisha kutambaa?!...then kutembea...!!!!
 
Back
Top Bottom