Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Hii inatoa picha sahihi kuwa serikali ya Kikwete ilikuwa mbovu kuliko maelezo kwani haijawahi tokea mawaziri wengi hivyo kuangushwa katika Uchaguzi mkuu na wengi pia waliangushwa katika kura za maoni.
Me nafikir wananchi wameamua kuvunja baraza la mawaziri wenyewe,ni kitu kizuri pia maana raisi kashindwa
Habari wadau
Mawaziri wa Jakaya Kikwete wamezidi kuangukia pua katika uchaguzi unaoendelea.
Baadhi ya waliokumbwa na dhahama hiyo ni Wassira, Chiza, Mwanri, Nundu, Kilango na Zambi..
Hata walioshinda ni kibahati nasibu mfano Mwakyembe.
Je Watanzania wenzangu tunapata somo gani hapa? Na tutegemee jipya gani kwa baraza jipya litakaloundwa na either Magufuli au Lowasa?
Mkuu nadhani niongeze kidogo kwenye bandiko lako mpaka sasa waliokuwa bado mawaziri na wameshindwa ni pamoja na Mhe Steven Kebwe na ambao walikuwa mawaziri na waliondoka kwa sababu mbali mbali ni Mhe Kagasheki,Mhe Gaudes Kabaka,Mhe Makongoro Mahanga,Mhe Cyril Chami,Mhe Adam Malima,Mhe Dr Seif. Mhe Prof. Kapuya
Kwangu somo ni kuwa kumbe umma ndiyo wenyewe nguvu ya maamuzi kuwaweka viongozi kwenye nafasi hizo na lingine kuwa umma unahitajika upewe Elimu zaidi ya nguvu walionayo.
Kwa Baraza jipya wagombea walituahidi kwenye kampeni muundo wa serikali utakuwaje tusubiri tuone ahadi walizotoa watazitekeleza?

....mawaziri wengi wa serikali inayotoka madarakani walikua mizigo isiyobebeka...na wengi wao walipata vyeo kwa fadhila za mkuu wao...hivyo sishangai wakiangukia mapua....nitashangaa kama wale waliobahatika kupita hawatakuwa sehemu ya mawaziri wa magufuli(kama atashinda)...maana sioni atawatoa wapi wapya...wengi wao ni vihyo waliochaguliwa na watanzania waliopumbazwa na ccm kwa miaka mingi....Ndio maana tunasema ccm hawana jipya...Habari wadau
Mawaziri wa Jakaya Kikwete wamezidi kuangukia pua katika uchaguzi unaoendelea.
Baadhi ya waliokumbwa na dhahama hiyo ni Wassira, Chiza, Mwanri, Nundu, Kilango na Zambi..
Hata walioshinda ni kibahati nasibu mfano Mwakyembe.
Je Watanzania wenzangu tunapata somo gani hapa? Na tutegemee jipya gani kwa baraza jipya litakaloundwa na either Magufuli au Lowasa?
Mbona Fenela unamruka Simbilisi wewe!
Habari wadau
Mawaziri wa Jakaya Kikwete wamezidi kuangukia pua katika uchaguzi unaoendelea.
Baadhi ya waliokumbwa na dhahama hiyo ni Wassira, Chiza, Mwanri, Nundu, Kilango na Zambi..
Hata walioshinda ni kibahati nasibu mfano Mwakyembe.
Je Watanzania wenzangu tunapata somo gani hapa? Na tutegemee jipya gani kwa baraza jipya litakaloundwa na either Magufuli au Lowasa?
Somo ni.
1. Ccm haijatumia mabavu hata pale ambapo heavy weights wameangushwa!
2. Uchaguzi huu ni huru na haki
3. Upinzani nanyie mkubali kushindwa, acheni kulialia