Habari wanajamvi, nimenunua tcl smart TV na nimesikia kuna uwezekano wa kutizama channel za bure kwa kutumia antenna ya kawaida kabisa
Tafadhali mwenye uelewa juu ya hili suala anisaidie tafadhali
Naomba kuwasilisha
Habari wanajamvi, nimenunua tcl smart TV na nimesikia kuna uwezekano wa kutizama channel za bure kwa kutumia antenna ya kawaida kabisa juu nyingine
suala anisaidie tafadhali
Naomba kuwasilisha
Mie nilijaribu kwa kutumia Dish la DSTV nikapata CGTN, CCTV na TV nyingine za Kichina. Nahisi nikibadili uelekeo wa dish nitapata FTA nyingine. Ila kuna mtu huwa anatumia antena za star times yuko Dar anakamata baadhi ya channel za star times. So inawezekana kama upo mkoa ambao una minara ya kurushia matangazo ya ardhini na kutumia dish kupata FTA via satelite (lakini sio HD FTA) kwa kuwa kingamuzi chake cha ndani ni DVB2