Tetesi: Kuangalia Free Channels( channel za bure) kupitia Tcl smart tv

JuniorGee

Member
Jan 26, 2018
97
125
Habari wanajamvi, nimenunua tcl smart TV na nimesikia kuna uwezekano wa kutizama channel za bure kwa kutumia antenna ya kawaida kabisa
Tafadhali mwenye uelewa juu ya hili suala anisaidie tafadhali
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,439
2,000
Mimi napata channels za IPP Media pekee ITV, EATV & CAPITAL TV, Radio One East Africa Radio & Capital Radio. Natumia antenna ndogo ya ndani.
 

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,378
2,000
Habari wanajamvi, nimenunua tcl smart TV na nimesikia kuna uwezekano wa kutizama channel za bure kwa kutumia antenna ya kawaida kabisa juu nyingine
suala anisaidie tafadhali
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nilijaribu kwa kutumia Dish la DSTV nikapata CGTN, CCTV na TV nyingine za Kichina. Nahisi nikibadili uelekeo wa dish nitapata FTA nyingine. Ila kuna mtu huwa anatumia antena za star times yuko Dar anakamata baadhi ya channel za star times. So inawezekana kama upo mkoa ambao una minara ya kurushia matangazo ya ardhini na kutumia dish kupata FTA via satelite (lakini sio HD FTA) kwa kuwa kingamuzi chake cha ndani ni DVB2
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom