Wazazi/familia zetu wengi zinaamini sana katika kuajiriwa serikalini na si kujiajiri-zinahita ELIMU ELIMU ELIMU.
Kujiajiri ni kuzuri sana kama kada uliyosomea ina mshahara chini ya 1,500,000 hata kama una miaka mitatu kazini mfano ualimu wa shule ya msingi unastaafu bado hujapata take home ya 1,500,000M
Vinginevyo uajiriwe kwa muda ili kupata mtaji na kuacha kazi na kisha kujiajiri mwenyewe.