Kuajiriwa sio kabisa!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
Ukitaka kujua kama kuajiliriwa ni upumbavu,siku bosi aje ofisini na wwanae,utaona wafanyakazi wanavyojichekesha kwa huyo mtoto.


(totoo waitwa nani)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Jamani, bila kujipendekeza unaweza ukakosa kusimamia mitihani ya taifa, na vifursa vingine kama hivyo. Pia usisahau kumpa shikamoo bosi wako hata kama amekuzidi masaa 3 ya kuzaliwa[emoji2].
 
Ukitaka kujua kama KUAJIRIWA ni upumbavu,Cku Bosi aje ofisin na Mwanae,Utaona wafanyakaz wanavyojchekesha kwa huyo mtoto.


(totoo waitwa nani)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shikamoo mkuu ha ha haa
 
inategemea na kazi unayofanya ofisi gani mitoto inakuja kuja ofisini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…